Serikali inafanya mzaha kwenye mambo mazito ya taifa.

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,293
Kitendo cha kutuulia askari wetu 8 kikatili halafu kauli nyepesi tu zinatoka eti hao ni majambazi inazidi kutupa hasira tu.
Askari 8 halafu Rais wetu haongei lolote kuhusu tukio la kutisha Kama hilo, sielewi Kama taifa Tunaenda wapi .
Hata TISS imeshindwa kabisa kuzuia kabisa mauaji hayo?
Jamani roho Inaniuma Sana, sana tu.
Siamini maneno mepesi ya police kuwa na wao wameua wanne, kwa uelewa wangu, si rahisi Kwa wauaji hatari Kama hao kuendelea kubaki msituni baada ya tukio eti hadi police waje wapambane nao.
Tanzania tumefikia mazingira ya watu kuhama makazi yao Kwa Sababu za kiusalama? Siamini Kama ndo Tanzania yangu imefikia hatua hii.
Wauaji hao, wameshaua watu wengi huko pwani, wenyeviti, mbunge na raia kibao bila ya kupora chochote, halafu mtu anakuja hapa na kudai eti ni majambazi, simple as that, mauaji Kama hayo hayo yamefanyika Mwanza msikitini Kwa watu kuchinjwa kinyama kabisa.
Na kuna makundi yalitoa kanda za video yakidai yapo mapangoni na kuitisha serikali, hadi sasa hivi kundi hilo linaendelea kutamba.
Vituo vya police kutekwa na silaha kuibiwa na police kuuawa, bado kundi hilo linatamba na halikamatiki, Kwa nini?
Kama intelligence yetu imeshindwa Kwa nini tusiombe msaada wa FBI au Scotland yard?
Matukio ni mengi sana, hii ni dhahiri kabisa kuna kundi maalumu linafanya ugaidi na pengine linapewa ufadhili nje ya nchi.
Tumechoka kusikia watanzania wanauawa hovyo, serikali haipo serious kabisa, inaleta utani ktk hili jambo zito, yaani TISS wakiamua kabisa wanashindwa kweli kuzuia mauaji haya?
Nasema tumechoka kusikia mauaji, yakitokea tena serikali iwajibike manana inaleta mzaha.
 
Pole sana mkuu......i can sense how bad you feel.
 
Back
Top Bottom