Jasusi Uchwara
Member
- Aug 12, 2021
- 64
- 117
1😀PP kumfutia mbowe mashitaka, nalo litamuongezea popularity kubwa na confidence ya kudai katiba.
2.Mahakama iamue kesi hii, na mbowe akishinda basi ni aibu kwa serikali.
3.Mbowe wamfunge jela miaka 30, na kwa nature ya kesi hii ya ugaidi ni miaka 30 au kunyongwa.
Serikali ya samia imejitia kitanzi yenyewe.