Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,851
- 24,635
Huyu mtu au Kampuni inayochapisha pesa kwa kweli ameshindwa kazi. Inaonekana hakuwa na mtaji wa kutosha au anaficha pesa.
Leo imekuwa ngumu sana kuziona noti za 10,000 na 5000 pesa haipatikani kama zaman ambapo ilikuwa nje nje tu hasa kwa wauzaji wa unga. Siku hizi watu wameacha kabisa kuuza unga huku mtaani.ukitaka unatakiwa ukasage mahindi yako mwenyewe.
Mtaani pesa haipatikani na heshima kwa kweli imerud kwa wale ambao zaman walikuwa wanatumia pesa zao hovyo hovyo na kusababisha kibri.
Inaaana serikali haijaona kuwa pesa zimekuwa adimu?na mchapishaki eitha ameficha au ameacha kuchapisha?