Ufutwe ili mtuibie vizur, mbowe alisema kutokana na chukizo la maovu ya polisi na ccm(serlikali kwa ujumla)
Ameona juhudi za serikali kusidimiza upinzani nchini badala ya juhudi za maendeleo
wewe ni mwehu,yani mbowe ndo anaujua upinzani peke yake?tutake radhiWewe huwezi kujua zaidi kuhusu Upinzani nchini mwetu zaidi ya KUB mwenyewe!
Haiwezekani kuufuta kwa sababu upo kwa ajili ya kudanganyia Wafadhili ili tupate Misaada.
wewe ni mwehu,yani mbowe ndo anaujua upinzani peke yake?tutake radhi
Huyu mbowe naye si bure tu,anafanya uharifu ndiyo anaongea vitu vyake vya ajabu,aache kujikosha kwanza anatuboa sana siasa gani hizi anaratibu.Mfumo tunaoutumia katika siasa za nchi yetu unatoa nafasi ya ushiriki wa wananchi wenye mitazamo tofauti katika uongozi wa kisiasa kwa kutumia sanduku la kura. Ni utaratibu mzuri na shirikishi kuliko mfumo wa chama kimoja. Alichosema mwenyekiti wa Chadema ni kwamba kama chama tawala hakiko tayari kushiriki kwa amani kwenye mfumo wa vyama vingi ni bora kutokua nao..maneno haya yana nia ya kuonyesha kutokua tayari kwa chama tawala na serikali yake katika kukubali matokeo ya sanduku la kura na sio kuanzisha mjadala wa kuwa na chama kimoja au vyama vingi.
Anyway I take your thread is a political joke at a time when we need "critical thinking" on how we as citizens can move forward in our democratic pathway. It taste so bad.
Wewe unaujua?<br />By Msema yote<br />
Ufutwe ili mtuibie vizur, mbowe alisema kutokana na chukizo la maovu ya polisi na ccm(serlikali kwa ujumla)<br />
Ameona juhudi za serikali kusidimiza upinzani nchini badala ya juhudi za maendeleo
<br />
Wewe huwezi kujua zaidi kuhusu Upinzani nchini mwetu zaidi ya KUB mwenyewe!