Kabla ya hayo matukio yote umetaja.. unamaana nchini watu walikuwa hawafi au?
Acheni kukuza mambo.. mngekuwa mnajali mengi mngekimbilia mitaani kwenu kuongea na viongozi wenu.. ila kwasababu hakuna baya ndio unakimbilia kuandika matukio ya hao bila kuandika mengine mengi ya kabla...
Kuwashwa washwa hukooo.. nenda ukaishi kwa mfano Syria ujioneeee unayoyaongelea