unapojenga au kupanga nyumba hakikisha umekaa kwny line za Umeme zinazoelekea Hospital kuu, Kambi za jeshi, Ofisi za usalama wa Taifa, Maafisa waandamizi wa Serikali …Mbeya soweto wanekata dakika 5 zilizopta
hoja ya kijingakama umeme una katika mara kwa mara si muwashe majenereta ?
Ukiwa na uwezo wa kumiliki Generator haiwi hoja ya kijinga …ila kama hali ya hewa ya 'mfuko ' ni vipindi virefu vya Jua na ngurumo za hapa na pale lazima uone ni hoja za kijingahoja ya kijinga
Umeanzia vizuri mada yako lkn umeiharibu kwa kumchafua huyu waziri mchapa kazi. Unaonekana umetumwa na wahuni wenzio "*wale sukuma gang".Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba
Acha wampe publicityUmeanzia vizuri mada yako lkn umeiharibu kwa kumchafua huyu waziri mchapa kazi. Unaonekana umetumwa na wahuni wenzio "*wale sukuma gang".
Sasa kwa taarifa yako Makamba haondoki hapo wizarani badala yake utaondoka wewe kwenye kundi linalomsakama Makamba
Ninakubaliana nawe kuhusu ubovu wa Tanesco; lakini hicho unachokililia cha ubinafsishaji hukijui kabisa.Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.
Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.
Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
Mama Samia, kamata January makamba na hold him accountable for this misery. Huyu kijana ni mpigaji na hana any plan ya kutatua tatizo la umeme hapa nchini, wengi huku mtaani wanasema hata wewe mwenyewe Mama unahusika na huu upigaji na ndiyo maana unamnyamazia huyu mwizi wa taifa.Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.
Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.
Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
Wewe ni Sukuma gang, kuona ukweli siyo rahisiIkiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.
Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.
Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
usukuma kusema ukweli wa hali halisi ya Tatizo la umeme, nadhani ww ndio msoga gangWewe ni Sukuma gang, kuona ukweli siyo rahisi
umeona mkuuMama Samia, kamata January makamba na hold him accountable for this misery. Huyu kijana ni mpigaji na hana any plan ya kutatua tatizo la umeme hapa nchini, wengi huku mtaani wanasema hata wewe mwenyewe Mama unahusika na huu upigaji na ndiyo maana unamnyamazia huyu mwizi wa taifa.
cc: Mama Samia
Sema Usukuma gang na siyo Usukumausukuma kusema ukweli wa hali halisi ya Tatizo la umeme, nadhani ww ndio msoga gang
hahaha sawa nimekubali kusahihishwa sababu si wasukuma wote ni sukuma gangSema Usukuma gang na siyo Usukuma
Tatizo Si Tanesco ni uongozi.Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.
Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.
Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
unafkiri ikibinafsishwa kuna atakae baki kwenye uongozi wa tanesco? [emoji1787]Tatizo Si Tanesco ni uongozi.
Badala ya kubadili uongozi na kuwawajibisha unashauri libinafsishwe?