Serikali ya uingereza imesitisha msaada wa kutoa vyandarua kutokana na udanganyifu toka serikalini!!!
Serikali inajisifia mbele ya mataifa mengine eti imepunguza vifo vya watoto na mama wajawazito!!
My take!! Ni aibu sana kutumia umasikini na maradhi ya raia kujishibishia mimatumbo yenu!!! Nyambaaaaa........
Source: star TV habari