Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Serikali yetu imekuwa ikicheka nao kwa muda mrefu, sasa wakati wa kuvuna mabua umeshafika, na lazima patachimbika, wameshaweka mizizi ya uovu ndani ya nchi yetu, ni swala la muda tu kabla Bomu la kwanza kulipuka ndani ya nchi yetu!
Wana Mitandao mirefu, lkn Watanzania tutawashinda tu, Mafisadi chadema, ...
Wana Mitandao mirefu, lkn Watanzania tutawashinda tu, Mafisadi chadema, ...