sio malimbikizo tu, madaraja pamoja na annual increment watu fulani fulani wanalipwa ndani ya taasisi moja wengine wanaambiwa eti wizara ya utumishi ndo imekataa kabisa na serikali ilishafuta nyongeza ya mwaka (annual increment). Kibaya zaidi wafanyakazi wa elimu ilelile wanaofanya kazi kwenye vyuo vikuu vya umma wanatofautiana kwa kiasi kikubwa sana cha mshahara yaani kati ya laki 3 na 8.