mkuu.....sasa hivi hakuna muda wa kusubiri serikali ichukue hatua........kama umefuatilia swala la Nairobi nadhani utakuwa wa kwanza kushtaki pale unapoona huelewi elewi.........kama vipi.....toa direction ya wapi hao wasomali wanaonekana hatua zifuatwe.......JF tunao kila aina ya watu......so mwaga data.........na ukiona niajeniaje....niPM......

Ifike mahali taarifa zinazoletwa na members wa humu JF kama zina maslahi ya taifa zifuatiliwe haraka.
Kuna wakati upande wa JWTZ walijitokeza kuongelea habari zilizoletwa na member mwenzetu, why not Jeshi La Polisi na TISS? Msidharau twajua mnasoma!!
AchA uongo mimi naishi ngaramtoni ya juu na asubui hua naenda kusali. Mbona husemi kuhusu bangi na mirungi kuuzwa hadharani?
we msomari nini, mbona unatokwa mapovu
Msomari ndio nini? Kama ni tusi na wewe pia!