Basi hamishia kwenye daftari lako.Sikutaka mtu acoment huu uzi lakn. Huu uzi nataka niutumie mwenyewe labda tu ulike na mafire bila kusahau mitikisiko pamoja na vichekez.
ntakurogaa punda wewe afu toa hyo rangi ya njano my friend inanipandishia nyongoBasi hamishia kwenye daftari lako.
Unajua kuroga au ndio unajifunza?ntakurogaa punda wewe afu toa hyo rangi ya njano my friend inanipandishia nyongo
Wakikuwahi utapona2. Ccm wanajifanya kujua kisichojulikana na wakishindwa wanaanza kubambikizia watu yasiyoeleweka. Serikali iliyo imara inakuwaje mtu akitekwa wanakuja na ripoti ati katekwa na wasiojulikana? Mfumo wa ulinzi walishauvuruga kiasi kwamba hawajuani. Ni sawa na sio kwa ubaya mahakama lazma ifanye kaz lakini kwa nin walio na makosa wapo nje wasio na kosa ndani? Ccm mnaruhusu mtu anaanzisha genge tena akitangaza hadharan kwamba atauwa raia watakao toka kudai haki zao na bado mpo kimya tu. Mkiambiwa ukweli mnateka watu na kujifanya hamjulikani. NTAWAROGAAAA. Sitak coment ya mtu asiyejielewa
Nenda pale ikulu ukawambie hahahahaNimesema hivyo nikiwa na maana yangu. Lissu sio mhaini bali wananchi ndio wahaini. Wao ndio walikinukisha na sio lissu au chadema. Serikali ipambane na wananchi yaan iwakamate woote nchi nzima iwaweke selo na kuwafungulia mashtaka na sio lissu. Jamaa wasimuonee bure. Cha kwanza yeye alikuwa ndani tukakinukisha sisi. Acha nijikonyaginize kwanza afu nije kuandka upya coz hapa sijaelewa nilichokiandka. AU MNAONAJE WADAU SIJAANDIKA VIZURI
na mim sijakuambia wewe. NtakurogaaaNenda pale ikulu ukawambie hahahaha