Kumjadili kikwete ni kupoteza muda tu
hatuwez kuacha kumjadili ili tusirudie makosa yake kama inakuuma kale malimao
Katika kipindi cha Mh Jk tulichezewa akili zetu kwa kuamini kua serikal haina pesa kumbe kuna mzigo mkubwa zaidi
Kwa jins serikal ya JPM inavyo wajibika kukusanya kodi na kuzuia matumizi mabaya ya serikali ili kuifanya serikal iwe na pesa mob inajidhihirisha wazi kua utawala ulio pita kiukweli haukua mzur
Mm nadhani kumjadili jk, ni kumpa Sifa za kijinga cha msingi hapa asizungumziwe ili umaarufu wake upotee ktk magazeti na midomoni mwawatanzania, tukimjadili atajiona bado anakubalika, tujadili mapya aone yy c kitu chochote ktk serekali yetu,
Utasubiri sana na haiji kutokea hicho ukiombacho! hizo hasira zenu kwa kushindwa kapi lenu la monduli zitawafikisha pabaya! JK amefanya mengi mazuri kwa nchi hii, ugumu wako wa maisha unatokana na uvivu wako mwenyewe, usilaumu mtuKikwete kalihujumu taifa kwa kiwango cha kutisha kabisa, hatuwezi kukaa kimya eti sababu kastaafu, ni jukumu letu kupiga kelele na kuhahakikisha kuwa sheria zinabadilishwa ili na wao wapambane na mkono wa sheria.
Ukawa wana uchungu sana na kikwete,wanamuona nuksi kwa kumkosesha ugali lowassa.mwacheni mzee wa watu apumzike,kila uchao mara msoga mara mkwere.kwa katiba hii hatuwezi kumfanya chochote,tutaishia kutoa povu tu
Acheni kuchonga.. mwacheni JK wa watu...