kapingili
Senior Member
- Jul 4, 2012
- 155
- 192
Katika kipindi cha Jakaya Kikwete tulichezewa akili zetu kwa kuamini kuwa Serikali haina pesa kumbe kuna mzigo mkubwa zaidi.
Kwa jinsi Serikali ya Magufuli inavyowajibika kukusanya kodi na kuzuia matumizi mabaya ya Serikali ili kuifanya Serikal iwe na pesa, inajidhihirisha wazi kuwa utawala uliopita kiukweli haukuwa mzuri.