Habari wanajamvi,
kumekuwa na maelezo na ufafanuzi kadha wa kadha wa namna ya kupakua(download) series kupitia links,website, na applications mbalimbali,kwa bahati mbaya kwangu sijakutana na link(s),web au app itayoniwezesha ku-download series za MARA CLARA n.k) haswa zile zenye matamshi ya kiingereza.
Msaada kwa anayejua tafadhali.