SERIES: THE WITCHER

Series ikianza na logo ya Netflix hua naidharau kabla hata kuiona..
Ila the witcher na See naona zinakiki kitaa ngoja nizifuatilie
 
Muvi na series za Netflix hua naona zipo hovyo
Zipo nyengine nzuri ila ni chache. Netflix wamefanya uangalie movie za taifa tofauti ambalo before ilikuwa hakuna hivyo. Kuna nyengine za kikorea, na uturuki nzuri tu
 
Mara nyingi film zinazotokea kwenye game then ndio zinachezwa huwa hazivutii.
Ikitoka kwenye movie halafu ndio ikachezwa game huwa inakuwa imetulia.
Hii story imetokea kwenye game ya the witcher moja ya game kali sana kulicheza.
Naona inaweza chemsha kama assassin's creed.
Halafu netflix huwa wana movie mbovu sana. Yaani sijawahi ona movie kali kwao mbali na bird box.
 
Nimeanza kuiangalia on Netflix ila bado haijanivutia kivile. Ni kama game of thrones ila hii ipo chini bado
 
Series ikianza na logo ya Netflix hua naidharau kabla hata kuiona..
Ila the witcher na See naona zinakiki kitaa ngoja nizifuatilie
acha roho mbaya Mkuu itafute series Vagabond na memories of alhambra bila kusahau Arthdal chronicles
 
Mkuu ww huwaunatumia app au site gan kupata vigongo vya nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…