Serengeti breweries mwanza

Serengeti breweries mwanza

totoh

Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
6
Reaction score
2
Naomba msaada kwa yeyeto mwenye habar kuhusu serenget brew,mwanza kwan kuna watu tulifanya interview department ya stores and engineering tuliopita tukapewa stakabadh zote mpaka medical checkup tukaenda.kisha tuliambiwa tusubir kusing contract tu imepita miez zaid ya mi nne kimya.kama kuna mwenye lolote tafadhal nijuze
 
jamani jamani huyu rachel atafutwe kwa udi na uvumba, nimepokea text yake sasa hivi kanitumia,nayo inasomeka kama ifuatavyo

"Habari, naitwa Rachel From Palmeras Apartments Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Administration Officer Post, I like your CV na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo. Mshahara ni 1.3million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa laki 2.5 for helping you. If you agree, do the following, by saa 11 jion uwe umetuma scanned copy ya veti vyako yo visionafrica@gmail.com na sh. elf 30 by Tigopesa kwenye namba 0713749735 au Mpesa 0759923566 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.

KUNA JAMBO LINANIPA WASIWASI, WANAJUAJE KAMA MTU UMEAPPLY KAZI OFISI FULANI? AU WANAZIPOST WENYEWE KWAHIYO ZINAKUWA NI NAFASI FEKI?
 
Onyo na wasiwasi wako kwenye post yako ni jambo la msingi. Lakini je inahusiana vipi na huyo anayeulizia posts za Serengeti Breweris Mwanza kwenye post ya kwanza? Au ndo kupost jambo lolote mahali popote!!
 
jamani jamani huyu rachel atafutwe kwa udi na uvumba, nimepokea text yake sasa hivi kanitumia,nayo inasomeka kama ifuatavyo

"Habari, naitwa Rachel From Palmeras Apartments Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Administration Officer Post, I like your CV na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo. Mshahara ni 1.3million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa laki 2.5 for helping you. If you agree, do the following, by saa 11 jion uwe umetuma scanned copy ya veti vyako yo visionafrica@gmail.com na sh. elf 30 by Tigopesa kwenye namba 0713749735 au Mpesa 0759923566 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.

KUNA JAMBO LINANIPA WASIWASI, WANAJUAJE KAMA MTU UMEAPPLY KAZI OFISI FULANI? AU WANAZIPOST WENYEWE KWAHIYO ZINAKUWA NI NAFASI FEKI?

Naomba msaada kwa yeyeto mwenye habar kuhusu serenget brew,mwanza kwan kuna watu tulifanya interview department ya stores and engineering tuliopita tukapewa stakabadh zote mpaka medical checkup tukaenda.kisha tuliambiwa tusubir kusing contract tu imepita miez zaid ya mi nne kimya.kama kuna mwenye lolote tafadhal nijuze

Sijawaeleweni!!
 
wat wengine bhana.sasa mtu kaomba msaada kuhusu serenget we unaleta mambo ya huyo Rachel.kwel mbulu...
 
Alikuwa anamaanisha yawezekana ya Rachel ndo yamekuta wa Serengeti.Yaani katapeliwa labda huyo wa Serengeti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom