Tetesi: Serekali na asasi za khaki za wafanyakazi ifutatilieni Hospital binafsi ya Sandarya Medical centre Makumbusho

UTOPIANISM

Member
Aug 7, 2013
63
23
Nawasilisha mada hii kwa kwel kwa uchungu mzito jaman tunafanya kaz katika mazingira magumu na boss hataki kutupa mikataba ya kazi watu wanafanya kaz inapita miez hadi minne boss hakupi mshahara wala allowance yeyote ukimuuliza kuhusu mshahara unapewa wa mwez mmoja halafu mingine anapotezea Massa mengi ya kufanya kaz hakuna over time sheria na mahusiano kazn hakna watu wanafanya kaz siku saba za wiki hakuna mapumziko malalamiko anapewa na hazingatii jamani tunaomba mtusaidie ahsanten na naomba kuwasilisha.
 
tuwasaidieje?kuwakamata au kuwalipia?
 
Back
Top Bottom