madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,453
- 2,849
Sasa hapa kupigwa kuko wapi?Juzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushaur wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na garama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa garama wanazozijua wenyewe
Ushaur serekali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajuae garama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia garama za matibabu hewa
Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui
Bima za afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini
Serikali unaihurumia kwan ya babako,, wanavyotunyoosha hvyo kwa bei mbaya yJuzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo Magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushauri wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na gharama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa gharama wanazozijua wenyewe
Ushauri serikali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajue gharama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia gharama za matibabu hewa
Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui
Bima za Afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini
Lakini Rahisi si aliruhusu watu wale kwa urefu wa kamba yao,?Juzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo Magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushauri wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na gharama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa gharama wanazozijua wenyewe
Ushauri serikali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajue gharama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia gharama za matibabu hewa
Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui
Bima za Afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini
Pia wana bambika magonjwa au vipimo vikubwaJuzi kunamtu namjua alienda hospital maarufu tu hapo Magomeni siwezi kuitaja jina, kaenda kumuona doctor na akapima vipimo anavyo vitaka kwa ushauri wa doctor lakini baada ya mchakato mzima alipo pewa karatasi haikua na gharama za matibabu Wala vipimo alivyo pima inamana wale walikua wanajijazia kwa gharama wanazozijua wenyewe
Ushauri serikali izingatie mgonjwa anapo patiwa matibabu ajue gharama zake ni zipi vinginevyo mtakua mnalipa mabilion ya shilingi kulipia gharama za matibabu hewa
Na hii sio Mara moja ni mfano wa Mara nyingi tuu sijui Kama mnajua au hamjui
Bima za Afya amkeni wachawi wenu ni hospital mnazo ziamini
Ah kumbe unajua na dawa hewa pia zinaandikwaWatanzania hebu tupunguze ujuaji.
NHIF ndio wanaohusika kupanga bei za vipimo na sio mtoa matibabu.
Mrdt ni sh. 2000, FBP ni tsh elf 8000, kadhalika vipimo vingine vyooote vina bei elekezi.
Mtoa Mada hebu tuambie hiyo hospital inaiba namna gani?
Njia pekee ya kuiba labda ni Kuongeza vipimo visivyohitajika na hata hivyo umesema kua mgonjwa wako alifanyiwa vipimo stahiki, kwa hiyo hakukua na ongezeko la vipimo.
Wakati mwingine hua naona NHIF wanavowaminya wanachama wake ni sawa tu, maana mmezidi ujuaji na upuuzi.
Inabidi waandike vipimo....wampatie mgonjwa na risiti ya EFD kabisa ili afahamu gharama zakeWatanzania hebu tupunguze ujuaji.
NHIF ndio wanaohusika kupanga bei za vipimo na sio mtoa matibabu.
Mrdt ni sh. 2000, FBP ni tsh elf 8000, kadhalika vipimo vingine vyooote vina bei elekezi.
Mtoa Mada hebu tuambie hiyo hospital inaiba namna gani?
Njia pekee ya kuiba labda ni Kuongeza vipimo visivyohitajika na hata hivyo umesema kua mgonjwa wako alifanyiwa vipimo stahiki, kwa hiyo hakukua na ongezeko la vipimo.
Wakati mwingine hua naona NHIF wanavowaminya wanachama wake ni sawa tu, maana mmezidi ujuaji na upuuzi.
Umekurupuka.Watanzania hebu tupunguze ujuaji.