Huo ni mpango wa kuelea ktk kuishi dunia kama kijiji, yaani kila mtu haki sawa, hakuna utofauti wa kisiasa, rangi, jinsia wala Imani. Ndio maana hata Mtawala huyo ajaye atawatawala dunia ikiwa ni kama kijiji na dunia italazimishwa iwe na imani moja ili huyo mtawala atawale kwa urahisi.
Ushoga utakuja kukubaliwa na nchi nyingi hapo baadae, siku zijazo dunia itakuwa chafu sana sana.