Sera ya teknohama tanzania-

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Wana jfer wa tek
Leo ghafla nikaamua kuitafuta sera ya ICT(TENOHAMA) Tanzania. Yap uzuri wa internet nikaipata lakini
naona
  • ni ya mwaka 200sijui kama hakuna revised version Kama kuna mwenye link ya ya karibunizaidi nitashukuru akinidondoshea hapa
  • Kama kama Mara nyingi tunasemakiswahilini lughayataifa lakini machapisho ya mambo muhimu yanatolewa kwa lugha za kigeni. Anyway si tatizo kubwa sana kwa tulifanikwa kufika japo formIVza kata

Kwa wale wasio wavivu wa kusoma mabook na habari ndefu hebu Tusiome, tuichambue,tuikosoea,tuisifie kifanyike yoyote tunayoona kwenye sera hii ya kurasa 28.

baadhi yapo kipengelecha tatu

 
labda kama wewe ni mgeni tanzania?
 
labda kama wewe ni mgeni tanzania?

Sijakupata mkuu Qq
Inamaana kama sio mgeni sikutakiwa kuandika kitu gani hapo juu? .Hivi imefikia hatua ambayo watazania hawezi kuelezana mapungufu na kukosoana. Kama ni hivyo basi mimi na wewe na wale nayule ni sehemuya tatizo.

BTN

Zaidi Lugha ya mwaka nimeweka hiyotujaili mambo kadhaa if u re interested .Mfano

Making available appropriate financing and fiscal mechanisms for ICT entrepreneurs. Je hii sera ipo kweli nje ya makaratasi?Ni Taasisi au benki gani inafungu la mikopo ya ICT


Ni mjadala tu kamawanatekniki tunaweza kudiscuss nini kifanyike au ninini tatizo
 


Hivi jamani kwanini mpakaeohakunaveonanyadhifa zamaafica ICT wa mkoa nawilaya amawaivyo wakilimo, Uhandisi, Mifugo,Afya etc.

Kama serikali iko makini katika kuwezesha fursa za ICT then kwenye top level management na leadership kunatakiwa kuwa na watu wenye taaluma ya ICT . Otheriwise faida za Mkonga wa taifa (fiber optic ) zitaishia kwenye matumzi ya internet cafe na majumbani tu na sio sehemu za kutoa hudumaza jamii kama shule,hospitali maktaba, Polisi etc......

JK na wizara ya mawasiliano. Toeni ajira Kila mkoa na au wilaya kunatakiwa kuwa IT officer . Kama ni job specification na job description za majukumu na wajibuwao tunaweza kuyabainisha . Inaweza kuanza kwa majaribio kwa mikoa japo mitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…