Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Senene oyeee
Ntatoa mashine za kukamatia
Mie sisemi mengi. Hii biashara ya wadudu itakujalipa sana.
Tayari my business partner wabgu snowshite anafanya feasibility study ya hii biashara.
Tuna back up kubwa sana kutoka Umoja wa Mataifa.
[URL]http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2013/05/130514_un_chakula.shtml
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/450683-janga-la-njaa-un-yashauri-watu-wale-wadudu.html[/URL]
Mie sisemi mengi. Hii biashara ya wadudu itakujalipa sana.
Tayari my business partner wabgu snowshite anafanya feasibility study ya hii biashara.
Tuna back up kubwa sana kutoka Umoja wa Mataifa.
'Wakati wa kula Wadudu ni sasa' UN - BBC Swahili - Habari
https://www.jamiiforums.com/habari-...nga-la-njaa-un-yashauri-watu-wale-wadudu.html
Umeanza lini wizi?
Ile aidia ya kukuajiri konsaltant ufanye upembuzi yakinifu ushafanya yako hadi kuajiri mtu mpya?
Kumbe soko lipo kabisa......ukiachilia mbali la vijana wetu walioko nje ya nchi wanaosoma ambao huwa wanatuandikia email tuwatumie kwa DHL
kwakweli Hii biashara ya kula wadudu inakuwa kubwa ...
Kabisa kiongozi...
Tena hawa senene we acha tu
kipindi nimeenda bk nilikuwa nawashangaa home wanavowapendaWe acha tu my dear Smile, hawa viumbe ukisema uwasifie utajjikuta mate yanakudondoka mdomoni,
Basi niwapate na zile ndizi za pale Kyaka zile (gonja) acha kabisa
ila nasikia wana nyege sana ndo maana wahaya wanakitembeza sana
ila nasikia wana nyege sana ndo maana wahaya wanakitembeza sana
ila nasikia wana nyege sana ndo maana wahaya wanakitembeza sana
senene watamu aisee nakumbuka miaka nilokuwa bukoba nyamkazi nimegegeda sana senene...
na bado nawagegeda mkuu..senene watamu atiiiNo wonder umewagegeda sana. Surely hii biashara inalipa.
No wonder umewagegeda sana. Surely hii biashara inalipa.
Hahahaaaa, siti neno katika hili
Ila Smile na wewe umekula sana hawa kwa mujibu wa post yako juu, hebu tupe experience yako, vipi hali ilikuwaje?
Me ninachojua wana afya sana na virutubisho vya kutosha...ukijumlisha na ndizi hata kama mtoto ana bichwa la Kikwere, hawezi chora Zombie NECTA