Sera ya mtoto mmoja (One-child policy), ya watesa akina mama nchini China | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera ya mtoto mmoja (One-child policy), ya watesa akina mama nchini China

Discussion in 'International Forum' started by Ruhinda, Jun 14, 2012.

 1. R

  Ruhinda Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  13 June 2012
  China 'forced abortion photo' sparks outrage
  A photo purporting to show a baby whose mother was forced to have an abortion has shocked Chinese internet users.
  Feng Jiamei, from Zhenping county in Shaanxi, was allegedly made to undergo the procedure by local officials in the seventh month of pregnancy.

  Ms Feng was forced into the abortion as she couldn't pay the fine for having a second child, US-based activists said.
  Rights groups say China's one-child policy has meant women being coerced into abortions, which Beijing denies.
  National and local family planning authorities are investigating the incident, the Global Times newspaper reports.
  "Feng Jianmei's story demonstrates how the One-Child Policy continues to sanction violence against women every day," said Chai Ling of the US-based activist group All Girls Allowed.

  The group says it spoke to Ms Feng and her husband Deng Jiyuan after the incident. Mr Deng said his wife had been forcibly taken to hospital and restrained before the procedure.

  Unnamed local officials in Zhenping county quoted in local media reports denied forcing Ms Feng to have the abortion.
  "This is what they say the Japanese devils and Nazis did. But it's happening in reality and it is by no means the only case... They [the officials] should be executed," one reader on news website netease.com said, according to Agence France-Presse.
  Activist Chen Guangcheng, who was put under virtual house arrest for campaigning against forced abortions, fled China to the US last month.

  Source: BBC News - China 'forced abortion photo' sparks outrage

  My take: Sera ya mtoto mmoja (One-Child policy) nchini China inawatesa akina mama nchini humo, lakini pia inakatisha maisha ya watoto ambao wangeishi na kufanya mambo ya maana hapa duniani. Kwakweli ni kinyume cha haki za binadamu.
   
 2. u

  umumura Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni taratibu cha Kichina, we unawafahamu wachina, unajua historia yao, walipotoka na wanapoelekea??? unajua mchakato wa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi wanayopitia, au unabwabwaja tu kwa kufuata matashi ya wamerekani ambao wanawaona wachina kama maadui zao.

  Kuwa na akili acha kuiga mitindo ya kimagharibi na kukopi kila agenda wa wamarekani, mbona husemi wao wanapobariki ushoga. Sasa hivi china wanawapita wamarekani kisayansi, kiuchumi na kiuzalishaji, wao wanawaonea dongo, na wahataki kupitwa, hivyo wanawaandama kwa kila namna ili waonenkane wabaya duniani.

  Wakati wao wanafanya mambo mabaya duniani, wanafadhili uasi uarabuni unaoowa watu, wanapiga mabomu yanayoangamiza akina mama na watoto iraq, afghanstan, pakistani. mbona husemi hayo. ACHA UZEZETA NA KUKOPI NA KUIGA KILA KITU TOKA MAGHARIBI WEWE.
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu habari hizi si za kweli mm nina mtu China alishanitafsiria sheria hiyo ni kwa watu wa Mijini kuwa Serikali ya China itamlipia huduma mtoto mmoja tu wengine utawalipia ww mzazi ndo maana mjini wamepunguza kuzaa, vijijini wanazaana km kazi tena kuna Mzee mmoja huko China ana wake 54 na!watoto zaidi ya 150
  Ukini PM ntakupa address za facebook za hao jamaa na nipe muda nikutafutie habari za huyo rijali wa kichina
   
 4. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  china kwa kifupi kuna majiji yaliyoruhusiwa wakazi wake kuzaa mtoto moja tu. na kuna miji iliyoruhusiwa kuwa na watoto 2 tu na pale inapoonekana population iko chini wanaruhusiwa kuongeza kulingana na sheria ya jimbo.

  Kwa wale walio ajiriwa akizaa mtoto zaidi ya mmoja basi sheria inasema unaachishwa kazi, particulars zako zote unanyang'hanywa kwa mfano kama ni prof.,Dr. etc unanyang'hanywa vyeti na passport ya kusafiria ili usiende nje ya nchi au ya mji uliokuwa unaishi na kuanzaia hapo unatakiwa uhudumie huyo mtoto wa ziada uliyezaa kwa gharama zote sikumbuki zaidi lakini ni kama 5000yuan per month unatakiwa uilipe serikali kutokana na gharama za mtoto ulimuongeza.
   
 5. u

  umumura Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hukunielewa, na pia mimi sikukutukana. Tusi linakuwa tusi kama halina ukweli ndani yake. Kosa loko ni kufanyia kazi kila kitu ambacho wamarekani wanakipromote.

  Kwani hapa Tanzania au hata hukohuko marekani akina mama hawapotezi watoto wao kwa kutoa mimba. Kuna wanawake malaya kila siku wanaporomosha mimba kalifonia mboma husemi wao wanawaua watoto wao ambao huenda wangekuwa watu wa maana baadae. Mbona husemi jinsi wamerekani walivyowatesa waafrika wenzetu kwa kuwauwa vichanga wao wakati wa utumwa?

  Kuna kitu hufahamu wewe, Kama nilivyokwambia Maarekani wanatumia fedha, vyombo vya habari, kupenyeza propaganda zao za kishenzi kupotosha dunia, double standard, Kuhusu china wanafanya harakati nyingi za kijeshi, kijamii kwa mgongo wa haki za bidamamu kuonesha dunia kwamba wachina ni wabaya kwa lengo la kuwagandamiza wasikubalike kiushawishi duniani.

  Ndiyo maana nikakwambia acha kukopi kila kitu toka magharibi, wale ni mashetani, SOMA UFUNUO 13 UFUMBUKE.
   
Loading...