Habari Wakuu,
Nimeikuta sera yetu ya nje mahala na nimeona si vibaya nikiileta hapa tuweze kuipitia kurasa hizi cache (Kurasa 27).
Kwa ufupi sera yetu ina maono haya:-
Vision: Kuwa chombo chenye ufanisi katika kusimamia masuala ya Kiuchumi ya Tanzania na maslahi yake yote katika mataifa ya nje ya nchi
Mission: Kuendesha diplomosia endelevu itakayo zalisha shughuli za Kiuchumi na kuiwezesha Tanzania mabadiliko ya Kimaendelo na kujitegemea
Motto: Bora kuliko jana, isiyo na upungufu zaidi ya kesho
Wabobezi wa Lugha nitaomba msaada wenu katika tafsiri endapo ni sahihi.
---
Vision: To become an effective promoter of Tanzania's economic and other national interests abroad.
Mission: To conduct an active diplomacy that will generate economic activity and facilitate Tanzania's rapid transformation and sustainable development.
Motto: "Better than yesterday, no less than tomorrow"