Septemba 21: Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Siku ya Amani Duniani huadhimishwa kila Septemba 21, ikilenga kuimarisha Amani kwa Mataifa yote kuzingatia saa 24 za kutokuwa na vurugu na kusitisha mapigano

World Peace Day imejikita kukuza mshikamano duniani na kuwakumbusha watu na Mataifa juu ya umuhimu wa Amani

=======

Each year the International Day of Peace is observed around the world on 21 September. The UN General Assembly has declared this as a day devoted to strengthening the ideals of peace, through observing 24 hours of non-violence and cease-fire.

In 2021, as we heal from the COVID-19 pandemic, we are inspired to think creatively and collectively about how to help everyone recover better, how to build resilience, and how to transform our world into one that is more equal, more just, equitable, inclusive, sustainable, and healthier.

The pandemic is known for hitting the underprivileged and marginalized groups the hardest. By April 2021, over 687 million COVID-19 vaccine doses have been administered globally, but over 100 countries have not received a single dose. People caught in conflict are especially vulnerable in terms of lack of access to healthcare.

Zaidi > International Day of Peace | United Nations
 
Tuzidi kuiombea nchi yetu Tanzania izidi kuwa kisiwa cha Amani na Utulivu.

Mungu azidi kuwapa nguvu Viongozi wetu kuendelea kulinda Amani yetu.

Ahsante na Pongezi kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia pamoja na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama kwa Juhudi kubwa wanazo zifanya usiku na mchana kuhakikisha amani na usalama vinatamalaki ktk Taifa letu.

Amani ndio kila kitu ktk Taifa lolote lile, kamwe tusikubali kuwachekea au kumchekea mtu yeyote yule anaye jaribu kuvuruga amani ya nchi yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom