Sensa yetu maendeleo yetu

Joined
Aug 11, 2022
Posts
16
Reaction score
10
Sensa ni utaratibu wa kukusanya kuchakata na kusambaza taarifa za watu wote na makazi katila kipindi maalumu . Je Kuna umuhimu wa kuhesabiwa ? Jibu ndio umuhimu upo sana kwasababu inatusaidia kutathmini hali ya uchumi ya sasa.

Inasaidia kujua idadi ya waliosoma na wasio soma pia kujua idadi ya watu ambao hawapo shule ila walipaswa kuwepo shule ,,,kutambua pia sababu zinazopelekea wanafunzi kuacha shule na n.k
Pia inatumika kufanya tafiti zingne.
Taarifa zipi zinahitajika
1.taarifa kidemographia
2. Uhamiaji
3.Elkmu
4.Ulemavu
.na nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…