Sio wale wavaa madera ya njano ya daima mbele nyuma mwikoIdadi ya wananchi ni 61M
sidhani kama mashabiki wa MAKOLO mnafika hata mil 20!yaani mil 40 wote washangilie wavaa dera nyekundu km mpo ktk siku zenu!?Baada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii tafsiri yake kuwa Simba ina fans wanaokaribia mil. 40.
Hii imechagizwa na idadi kubwa ya Watanzania kuiona simba kwenye mafanikio makubwa ya kimpira kama Ahmed Ally alivyodai kuwa nusu ya waTanzania hawajawahi kushuhudia UTO wakiwa makundi wala wakishinda 5 mbele ya mtani.
Hivyo ni vigumu mtu kushabikia team ya namna hiyo au labda awe zwazwa tofauti na wale wazee wawili alowataja Bi. Ashura Cheupe.
It was a matter of mathematics, numbers don't lie. Simba ni wengi. Ukibisha umbishe na Afisa Habari wenu wa UTO.
Unaonaje tukienda kwa takwimu ndogondogo kwanza?sidhani kama mashabiki wa MAKOLO mnafika hata mil 20!yaani mil 40 wote washangilie wavaa dera nyekundu km mpo ktk siku zenu!?
Rage hakukosea.Unaonaje tukienda kwa takwimu ndogondogo kwanza?
Kwani wewe ni JK au Sunday Manara?Rage hakukosea
qmmkBaada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii tafsiri yake kuwa Simba ina fans wanaokaribia mil. 40.
Hii imechagizwa na idadi kubwa ya Watanzania kuiona simba kwenye mafanikio makubwa ya kimpira kama Ahmed Ally alivyodai kuwa nusu ya waTanzania hawajawahi kushuhudia UTO wakiwa makundi wala wakishinda 5 mbele ya mtani.
Hivyo ni vigumu mtu kushabikia team ya namna hiyo au labda awe zwazwa tofauti na wale wazee wawili alowataja Bi. Ashura Cheupe.
It was a matter of mathematics, numbers don't lie. Simba ni wengi. Ukibisha umbishe na Afisa Habari wenu wa UTO.
Tumia akili yako vizuriBaada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii tafsiri yake kuwa Simba ina fans wanaokaribia mil. 40.
Hii imechagizwa na idadi kubwa ya Watanzania kuiona simba kwenye mafanikio makubwa ya kimpira kama Ahmed Ally alivyodai kuwa nusu ya waTanzania hawajawahi kushuhudia UTO wakiwa makundi wala wakishinda 5 mbele ya mtani.
Hivyo ni vigumu mtu kushabikia team ya namna hiyo au labda awe zwazwa tofauti na wale wazee wawili alowataja Bi. Ashura Cheupe.
It was a matter of mathematics, numbers don't lie. Simba ni wengi. Ukibisha umbishe na Afisa Habari wenu wa UTO.
1. Hivi unajua kuwa kwenye hao 61M kuna watu hawapendi Simba wala Yanga?Tegua mtego with facts mzee
Umezunguka sana ila kwenye hoja yangu ni kuwa Simba inakaribia 40ml not exactly, na hata unaposema vichaa nahisi ni wale alowajumuisha Ashura Cheupe kuondoa wale wazee wawili[emoji23][emoji23]1. Hivi unajua kuwa kwenye hao 61M kuna watu hawapendi Simba wala Yanga?
2. Hivi unajuwa kuwa kati ya hao 61M, kuna watu hawapendi kabisa football.??
3. Hivi unajuwa kuwa kuna watoto wamehesabiwa na hawajui kama kuna kitu kinaitwa michezo?
4. Hivi unajuwa kuwa, kwenye hao 61M, kuna vichaa ambao hata hawaelewi Yanga wala Simba ni nini?
Siyo kirahisi kama unavyotaka tuamini kuwa kwa vile Yanga wamesema wana wapenzi 20M basi waliobaki waote ni Simba..!!
Hapo ndipo kwenye msingi wa hoja yangu ya kwamba AKILI ITUMIKE VIZURI
Huna hojaUmezunguka sana ila kwenye hoja yangu ni kuwa Simba inakaribia 40ml not exactly, na hata unaposema vichaa nahisi ni wale alowajumuisha Ashura Cheupe kuondoa wale wazee wawili[emoji23][emoji23]
Ila kusema wengine hawajui mambo ya simba na UTO sijui, maana karibia kila mTanzania anaijua [emoji881][emoji881]
Lakini pia kuna hoja ya attendance ya uwanjani na social media.. Bado [emoji881][emoji881]is far more than [emoji196][emoji196]