Kuna maswala yakifanyika hutoa negative perception kwa jamii ...kama sasa, binafsi sifurahii tukio lote kwa ujumla wake, lakini pia sinahakika na ndio maana imebidi kuanzisha uchunguzi wa haraka, mbali na huyu staffkuendelea na matibabu.Kwa hiyo ofisi yenu hamajili mpaka m.....*mbe ndo mwapata ajira? Hiyo si laana jamani huyo binti hana kichaa tuu pia hajitambui yaani kwake kuvua kyupi ni rahis na anakubali kabisaa kuunganisha vikojoleo vyao?? Wanahitaji tobaa .
Salaam
Sina utaratibu wa kutafuna mfanyakazi mwenzangu niliamua tu ilikulinda ndoa,nafasi na kuheshimu utu wangu kama kiongozi. Hivyo pamoja nakutolewa macho na subordinate huwa nawapotezea kigumu.
Miezi kadhaa iliyopita tuliajiri administration officer wakike, ingawa baada ya interview alijaribu sana kuniwekea mazingira ya kile ambacho wataalam wa maadili hukiita QuidPro quo lakini niliukwepa huo mtego.
Sasa jana ndio kisanga kizima kimetokea huyu dada kumbe anatatizo la akili, hali ikabadilika kaanza kufurumua maneno kwamba kabla yakupata hiyo kazi mmoja wa senior mwenzetu alimtafuna mchana kweupe na sio utafunaji wakihalali tu yaani jamaa alimpakua na kisamvu.
Hakuishia hapo akaendelea nakwangu kwamba alijibaraguza lakini nikamkimbia.
Kifupi ninaushukuru msimamo wangu, siitaji ushauri hili liwekama funzo tu kwa senior wakware.
Tena Tobaat L nasuhaa !!Kwa hiyo ofisi yenu hamajili mpaka m.....*mbe ndo mwapata ajira? Hiyo si laana jamani huyo binti hana kichaa tuu pia hajitambui yaani kwake kuvua kyupi ni rahis na anakubali kabisaa kuunganisha vikojoleo vyao?? Wanahitaji tobaa .
Ngoja Tusiokuelewa Na Tunaojitambua Tukuache Kwani Nimerudia Kuusoma Huu UZI Naona Maluweluwe Tupu. Samahani Lakini Ila Ukweli Ndiyo Huo.
Kwa hiyo ofisi yenu hamajili mpaka m.....*mbe ndo mwapata ajira? Hiyo si laana jamani huyo binti hana kichaa tuu pia hajitambui yaani kwake kuvua kyupi ni rahis na anakubali kabisaa kuunganisha vikojoleo vyao?? Wanahitaji tobaa .
Kuna wakati mtoa mada anatakiwa kunyamaza ili watu wadadavue. Kiukweli umetoa onyo la kiutuuzima ila punguza kujibu kila andikoUkiwa mmoja wao sio rahisi kunielewa!
Nashukuru kwa ushauri nauzingatia... Sikatai mtu kukosoa ila wakati mwingine nashindwa kuunyamazia ukosoaji unaolenga kuharibu maana.Kuna wakati mtoa mada anatakiwa kunyamaza ili watu wadadavue. Kiukweli umetoa onyo la kiutuuzima ila punguza kujibu kila andiko