Wewe huku shangaa mtangazaji wa clouds anapewa ukurugenzi wa wilaya?
Hata vimada utasikia wamekuwa wakurugenzi
Hivi huko wilayani na manispaa hakuna maafisa wakuu wa kilimo,mifugo,elimu ,Afya wakapewa ukurugenzi ambao wanafahamu kazi?
Kwanini uteue wachekeshaji na unaacha senior officials
Sent using
Jamii Forums mobile app