Hassan J. Mosoka JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 682 Reaction score 323 Sep 28, 2019 #1 Kuna mwenye taarifa nini kimetokea kati ya send wave na voda tz manake karibu siku nne sasa tunashindwa kutumia mtandao huu pendwa kwa wale wabeba mabox tunaotuma mboga kwa wazee wetu huko bongo
Kuna mwenye taarifa nini kimetokea kati ya send wave na voda tz manake karibu siku nne sasa tunashindwa kutumia mtandao huu pendwa kwa wale wabeba mabox tunaotuma mboga kwa wazee wetu huko bongo