Semi-finished house for sale...

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wadau..
Nyumba ipo Kigamboni-Kibada... ipo katika makazi yaliyopimwa na kina hati.. nyumba iko katika kiwango cha renta.
Mmiliki amekwama kiuchumi kumalizia ujenzi.

Bei 50 Mil. mazungumzo yapo..

Mwenye nia thabiti ani-PM...

Nawakilisha.
 
Kama kweli unafanya biashara weka picha tuone kuliko kusema tu
kumbuka picha ni sehemu ya kulifanya tangazo kuwa na nguvu

Back
Top Bottom