Sembe imepanda pamoja na mshahara

Sembe imepanda pamoja na mshahara

Wewe bado tu upo TZ mkuu? Njoo Burundi, Bujumbura kila siku ni party tu.
 
Tambi from 1400 to 2000 sasa hivi
 
Acheni kumchafua mama.
Mwaka 2016/2017 sembe iliuzwa mpaka 2200 @kg.
Mimi pia nilikuwa na duka Dar es salaam, tuliuza kwa bei hiyo.
Nyie kilichobaki ni kuolewa na huo mzimu wa JPM mridhike.
Mnasahau kwa haraka sana
Mwaka jana mwishoni maeneo mengi Tanzania yalikabiliwa na ukame.
Hii ni effects of draught.
Acheni kuwa wajinga na akili ndogo.
Ungekuwa na akili nyingi ungejikusanyia mahindi na mpunga wa kutosha mwaka jana na leo isingekuwa na muda wa kupost post kama hii
 
Mwaka huu kazi ipo, je tutatoboa? Sembe yaani unga Sasa bei yake 1500.

Mama anaupiga mwingi hadi unachana nyavu.
Vipande Ili mkulima afaidi na Serikali imesema haina mpango wa kufunga mipaka 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-214800.png
    Screenshot_20220606-214800.png
    89.4 KB · Views: 22
Back
Top Bottom