πππππumenikumbusha yule jamaa wa kijiwe cha kahawa akiwapa stori wenzie..
kwamba walienda kuwinda...
wakapata swala sasa yeye akaambiwa akaanze ukata nyama..
akakata miguu miwili ya swala na kuweka begani!!
ghafla simu yake ikaita;
akapokea alivyomaliza akauliza wanywa kahawa wenzie niliishia wapi kwenye stori??!!
wakamjibu uliishia ukiwa umeweka mguu na paja begani!!
jamaa akajibu basi nilimtia yule demu balaaaa!!
kasahau kwamba aliweka miguu y swala begani sio ya demu...
Apo ndo utajua ujuiπ€£Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kumuuliza muuzaji,
"Una kuku?"
Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani. Mizani ikasoma Kilo 1.5.
Yule mwanamke akamtazama kuku kisha akauliza
"Hakuna mwingine ambaye walau ana kilo mbili?"
Muuzaji akamrudisha kuku kwenye friza kisha akamtoa tena yuleyule na kumuweka kwenye mizani. Kwa ujanja wa hali ya juu akakandamiza mizani kwa kidole gumba na mizani ikasoma kilo 2.
"Safi sana" Alisema yule mwanamke.
"Nitachukua kuku wote wawili"
Hadi sasa kichwa cha muuza nyama bado kimo ndani ya friza akitafuta kuku wa pili.......
SEMA KWELI siku zote
SHARE
Kikiganda tutaganduaMwambie butcher man siku nyingine apandishe mashetani mteja akimbie, sasa kichwa kikiganda humo?
Hiiiih!jam an Iππππππ
oyaaaa ππππumenikumbusha yule jamaa wa kijiwe cha kahawa akiwapa stori wenzie..
kwamba walienda kuwinda...
wakapata swala sasa yeye akaambiwa akaanze ukata nyama..
akakata miguu miwili ya swala na kuweka begani!!
ghafla simu yake ikaita;
akapokea alivyomaliza akauliza wanywa kahawa wenzie niliishia wapi kwenye stori??!!
wakamjibu uliishia ukiwa umeweka mguu na paja begani!!
jamaa akajibu basi nilimtia yule demu balaaaa!!
kasahau kwamba aliweka miguu y swala begani sio ya demu...
Maneno kumi ktk igizo LA mambo na vijimamboumenikumbusha yule jamaa wa kijiwe cha kahawa akiwapa stori wenzie..
kwamba walienda kuwinda...
wakapata swala sasa yeye akaambiwa akaanze ukata nyama..
akakata miguu miwili ya swala na kuweka begani!!
ghafla simu yake ikaita;
akapokea alivyomaliza akauliza wanywa kahawa wenzie niliishia wapi kwenye stori??!!
wakamjibu uliishia ukiwa umeweka mguu na paja begani!!
jamaa akajibu basi nilimtia yule demu balaaaa!!
kasahau kwamba aliweka miguu y swala begani sio ya demu...
jamaa alikuwa na fiksi nyingi sanaa π πHiiiih!jam an Iπ
jamaa alikuwa na fiksi nyingi sanaa π π
uongo mwingine haufaiπͺπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kumuuliza muuzaji,