Selfie ya Kigwangwala Simba Day

Yaani hatimae tumeungana na makonda kwenye ushabiki.!!! Hii dunia ni tambara bovu.
michezo ni nembo ya upendp duniani ila kama msemo wa Bello kitu ambacho mwanasiasa anasema kweli ni jina lake tu usishangae kesho Makonda akatinga na jezi ya YANGA
 
Hivi mmatumbi una anzaje anzaje kuwa shabiki wa Simba?
Kweli za tambia za kupenda, shirikisha na ubongo wako.
 
Angepiga WAKATI wa FAINALI za ''NDONDO cup '' ningemuona kuwa WA ukweli
 
Dah huu mpango wa kuhamia Dom watu wanaitikia mdomoni lakini tu,lakini ukweli rohoni wanaumia sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ