na siku nyigine akipiga na ndizi pembeni? tango ni tunda bana kama matunda mengine hayo matumizi mengine mnayopindisha si lazima iwe hivyo. Tango ni mojawapo ya tunda zuri kwa usingizi na afya kula kabla ya kulala, tena kwa wanawake ni vizuri zaidi kwani lina fibers aka nyuzi nyuzi zinazosaidia metabolism aka hali ya ujenzi na uvunjajivunjaji wa kemikali mwilini....au alikua na hangover,,,huondoa pia.