Selfie iliyomponza akaachwa

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,850
Huyu bidada alipigwa chini na jamaa yake baada ya kumtumia picha mida ya kulala..jamaa aliomba picha nzuri ya kulalia wakati kila mtu akiwa kwake kwenye maandalizi ya kulala..badala yake ikamponza...tafakari..chukua hatua

 
Mi huwa staki kuamini kuwa wadada huwa wana njia zao wenyewe kama hizo.
 
Tango! Tango! Tango! [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…