Krn
Member
- Jun 28, 2019
- 21
- 5
Selection zmetoka nmechanguliwa saut mwanza kozi ambayo nliichangua kama utani kozi vyuo vngne unachagua koz tatu tu SAS kwa chuo cha saut ni NNE sasa mi nljiandaa kwa hizo tatu kama vyuo vngne kuchoise kuptia hlo nkajkuta nachangua kozi kiutan ambayo siifaham zaid nawao wanchangua hyo hyo bachelor of arts in public relation and marketing plz anayefaham hii kozi anjuze kuhusu ajra zake na utakuwa Nan badae pia kama hiyo koz naweza pata mkopo
