Selection za TCU 2016/2017

Ruiz

Senior Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
169
Reaction score
70
Jaman bandugu naomba kujuzwa hivi selection za waliochaguliwa kujiunga na degree TCU ni lini zinatoka na tutaangalizia CAS au wap?? Msaada jaman nna kilalulalu nimemiss kusoma..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wewe ungekuwa umemic kusoma basi ungekuwa unafuatilia sehemu husika ilikupata taarifa kwa wakati....ila kwa kuwa mim nakuona kama mzembe basi ngoja wenye huruma na wajuzi zaidi wa mambo waje wakupe maneno.....
 
Ndo kama ivi kuuliza mkuu
 
Jaman bandugu naomba kujuzwa hivi selection za waliochaguliwa kujiunga na degree TCU ni lini zinatoka na tutaangalizia CAS au wap?? Msaada jaman nna kilalulalu nimemiss kusoma..[emoji23] [emoji23] [emoji23]

!
!
Bado wapo kutafuta walioficha hela kwanza, wakimaliza watatoa
 
Wapigie Simu Uwaulize Watakwambia!!
Mimi Nakuona Mtu Wa Ajabu Sana Kuwa Unataka Kwenda Chuo Lakini Kufungua Mtandao Wa TCU ukajua Kinachoendelea Unashindwa..
 
Safi sana mkuu, hawa ndo wale wanafunzi hewa au vilaz*
 
Jaman bandugu naomba kujuzwa hivi selection za waliochaguliwa kujiunga na degree TCU ni lini zinatoka na tutaangalizia CAS au wap?? Msaada jaman nna kilalulalu nimemiss kusoma..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Visit their website , all information is there
 
Ruiz, utaingia kwenye profile yako ya TCU kutazama selections pindi zitakapokamilika.
 
ayaaaaaah eti bandugu huyu jamaa mara namuona nacte mara tcu mara necta mara cha umaa mara shule za kata mara chama cha walimu mara jukwa la mapenzi sasa mm nimsaidiaje embu sema ukweli msimamo wako wapi then nitakujibu?
 
Hahaaaa aaa
 
Unataman chuo eeh utakuja tuu isihofu wenzako tuko field yan ndo kwanza nataman hata likizo iongezwe maana chuo ni shidah
 
ayaaaaaah eti bandugu huyu jamaa mara namuona nacte mara tcu mara necta mara cha umaa mara shule za kata mara chama cha walimu mara jukwa la mapenzi sasa mm nimsaidiaje embu sema ukweli msimamo wako wapi then nitakujibu?
Huhuhuuuuu
 
hana msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…