Inashangaza sana kuona coordination kati ya TCU na vyuo inapokuwa ndogo namna hii.. TCU imeongeza muda was third round kwa siku tatu na deadline kuwa tarehe 18 wakati huo huo hakuna chuo ambacho kishatoa selection za second round ili waliokosa second rough wajaribu bahati zao. This is so sad