Trichuris Trichura
Member
- Sep 26, 2014
- 82
- 22
Chuo cha mipango Dodoma kimeshatoa post
for more info tembelea
Institute of Rural Development Planning
fungua hiyo link udom toka lini ikaitwa Mipango?
hostel zipo kama utawahi, laki tatu na nusu tu kwa mwaka.Ukitaka kukaa mtaani pia nyumba nyingi tu ,chumba kati ya tsh 40,000 na 100,000 kwa self. Mwaka wa pili na watatu wengi wamepanga mtaani.