kaffir JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 595 Reaction score 390 Jun 2, 2019 #1 Kuna Mtu kachaguliwa kujiunga na chuo "Certificate in microfinance management" Anauliza inahusu nini (i.e baada ya kusoma unaweza fanya kazini gani...au kujiajiri wapi au kuajiriwa kama nani?) Majibu please kwa yeyote mwenye ufahamu.
Kuna Mtu kachaguliwa kujiunga na chuo "Certificate in microfinance management" Anauliza inahusu nini (i.e baada ya kusoma unaweza fanya kazini gani...au kujiajiri wapi au kuajiriwa kama nani?) Majibu please kwa yeyote mwenye ufahamu.