Ya kila mtu iko hvohvo usipanic na selection hawajatangaza rasmi ila kuna watu wachache tulipata selection zetu kupitia Airtel yatosha... ila kuna baadh ya vyuo vimeanza kutoa majina.
kama Mnt meru,jordan,ita,arusha university, Amucta n.k
Tulia kijana,mambo bado.mbona mwakajana walitoa september tarehe za mwanzoni!ila mwaka huu,vijana wanaugwadu sana,tofauti na miaka mingine,sijui kwa nin?lakin naweza sema subili,kama ulipiga fresh,chuo unacho tu,ata kama wanachelewa.:kev: