Jonas Johnson
Member
- Oct 13, 2017
- 14
- 2
Je ulisoma diploma ama umemaliza form6?Wakuu habari za asubuhi nilikuwa naomba msaada nimechaguliwa chuo cha mipango dodoma lakin nimeandikiwa not approved due to not meet minimum point of program niliwasiliana na chuo wakasema ni watumie tatizo la ngu kwenye Email yao lakn cha kushangaz mpak leo hawajajibu ni kaenda TCU wanasem hilo tatzo lishugulikiwa na chuo mpaka sas hiv cjui hatima ya chuo chang jaman
Kwaanaye fahamu hilo tatzo naomba anisaidie
Nimemaliza form six mkuuJe ulisoma diploma ama umemaliza form6?
Subiri basi kwanza itoke hii 2nd round, hapo ndio utajua kila kitu ndugu.Nimemaliza form six mkuu
SawaSubiri basi kwanza itoke hii 2nd round, hapo ndio utajua kila kitu ndugu.
Kivip mkuu wakati sifa za kuingia chuo ninazoUmechaguliwa lakini haujathibitishwa kwa kuwa hujakidhi kufikia kima cha chini cha viwango vya kujiunga na chuo
A level D D E(HGE) walikuwa wanatak point 4 tu mkuu chuo cha mipangoweka sifa za kujiunga na hiko chuo pamoja na ufaulu wako maana inaonekana unaweza kuwa usipate hiko chuo kwa ufaulu wako either O level au A level
Bachelor of development finance and investment planningKozi uliyochukua kama ilikuwa inahitaji economics basi hujafikia kiwango maana una E ya economics! Suluhisho ni kubadilisha kozi ili usome kozi inayohitaji historia na geography. Hebu tuambie walikuchagua kozi IPI?
Cjakuelew mkuuKwa iyo cheti kitatokA AMA??
Yaani ukichaguliwa chuo bila kutimiza vigezo... ukaenda ukasajiriwa ukaanza book... vip ukimaliza cheti kitapatikana??Cjakuelew mkuu
Jihadhari na hicho kitu. Utajikuta mwaka wa mwisho unafukuzwa chuo.Yaani ukichaguliwa chuo bila kutimiza vigezo... ukaenda ukasajiriwa ukaanza book... vip ukimaliza cheti kitapatikana??
Sent from "La -Vista"
DuhJihadhari na hicho kitu. Utajikuta mwaka wa mwisho unafukuzwa chuo.
Hana vigezo vya kusajiliwa chuo halafu amepataje na kupewa usajili?Duh
.....kwa iyo kwa mtu ambaye anasoma now tayari.... wapi anaweza proove km yuko varified or not?
Sent from "La -Vista"
Si wana zile itikadi labda haujakamilisha vigezo wanataka math o level uwe na d alafu we una F kwa iyo wanakusajili na no. Unakua nayo ila 2anakuambia utafute hii mambo huku unaendelea kusoma.... je ikitokea haujapata.....?Hana vigezo vya kusajiliwa chuo halafu amepataje na kupewa usajili?
Aombe Mungu amalize salama.