Sekuco

sandefs

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
264
Reaction score
33
Chuo kikuu cha sebastin kolowa, kilchopo Lushoto Tanga. kinasemekana kuendesha chuo kibabe kupitia serikali ya wanachuo ambayo inaegemea sana utawala badala ya maslahi ya wanachuo.

Tare 17.01.2011 ilikuwa siku ya baraza la chuo lakini kutokana kile kilichoitwa kudai haki ya kutaka kujuan matumizi ya michango yao wanachuo, iligeuzwa na kuwa kuvunja sheria za chuo hicho.
Sasa wanachuo wanadai katiba ya wanachuo ambayo haipo chuoni hapo,
Prof Bahendwa anachokiita kuwa ni katiba ya chuo ni rasimu ya katiba ambayo aidha yeye na serikali iliyopitwa na wakati ni kama vile bado wanang'ang'ania hali ya kuwa kutokupatikana kwa katiba ya wanasekuco.
Machafuko yaweza kutokea
 

sasa server za jf zitajazwa na malalamiko ya wanafunzi wa higher learning, mod ktk kipindi hiki nashauri uanzishe jukwaa la malalamiko ya wanafunzi wa higher learning ili huku kwingine tuzungumzie mambo yanayohusu mustakabali wa taifa letu na si school baraza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…