Mkuu yote hii ni mipango ya Mungu, ni lazima yatokee,,,,Kumbuka Mungu alimpa Moyo Mgumu Pharaoh ili amfuate Mussa na Majeshi yake Bahari ya Shamu, Mussa alipovuka na majeshi ya Pharaoh wapo katikati ya maji,,,,Bahari ikakutana tena,,,MAJESHI YA PHARAOH YAKAANGAMIA,,,,ndio kinachotokea kwa CCM,,,,It should die by HOOKS AND CROOKS. 2015 ni CHADEMA tu