nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
Wadau nauliza kwa aliye na taarifa juu ya majina ya kuomba ajira za kilimo zilizotolewa feb.17 na deadline kuwa march 3 mwaka huu,yatatoka lini?kwa alye taarifa tafadhal,tumechoka kusubiri

Hiyo naona wameipotezea.watu wa ustawi wa jamii katika tangazo hilo hilo la kazi wameitwa kwenye usaili. achana nao fanya mambo mengine ya msingi kwa mda huu.
Chek kwny website yao wametupia majina ya walioitwa kazin sehemu mbalimbal kwa agr,livestock n.k
Wewe ndio hujielewiyap,hawajielew