VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Mzee tupatupa tutafutane aisee kama upo arusha?Mkutano wa Sekretarieti ya CCM ulioisha usiku wa manane wa kuamkia leo umeibuka na mpya ya 2015. Habari za kuaminika toka kikaoni zinadokeza kuwa Sekretarieti imeamua na kupendekeza kuwa makada wote waliotangaza kuwa hawatagombea Ubunge,wasipitishwe tena majimboni wakikosa Urais.
Sekretarieti imebainisha kuwa hilo litapunguza mvutano majimboni kwakuwa tayari wameshachomoza makada wa kuwapokea vijiti walioaga. Sekretarieti inapendekeza watakaokosa ugombea wa Urais wasubiri nafasi za kuteuliwa endapo CCM itashinda uchaguzi ujao.
Wazo kama hili lilikuwepo 2005 na 2010 lakini wengi waliokosa kugombea Urais waligombea Ubungo majimboni mwao. Mwaka huu itawezekana. Tusubiri tuone. Watangaza nia wakae chonjo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Watu tunashida zetu bana, tusikilize zao za nini.........???????😛eace:Mkutano wa Sekretarieti ya CCM ulioisha usiku wa manane wa kuamkia leo umeibuka na mpya ya 2015. Habari za kuaminika toka kikaoni zinadokeza kuwa Sekretarieti imeamua na kupendekeza kuwa makada wote waliotangaza kuwa hawatagombea Ubunge,wasipitishwe tena majimboni wakikosa Urais.
Sekretarieti imebainisha kuwa hilo litapunguza mvutano majimboni kwakuwa tayari wameshachomoza makada wa kuwapokea vijiti walioaga. Sekretarieti inapendekeza watakaokosa ugombea wa Urais wasubiri nafasi za kuteuliwa endapo CCM itashinda uchaguzi ujao.
Wazo kama hili lilikuwepo 2005 na 2010 lakini wengi waliokosa kugombea Urais waligombea Ubungo majimboni mwao. Mwaka huu itawezekana. Tusubiri tuone. Watangaza nia wakae chonjo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Mkutano wa Sekretarieti ya CCM ulioisha usiku wa manane wa kuamkia leo umeibuka na mpya ya 2015. Habari za kuaminika toka kikaoni zinadokeza kuwa Sekretarieti imeamua na kupendekeza kuwa makada wote waliotangaza kuwa hawatagombea Ubunge,wasipitishwe tena majimboni wakikosa Urais.
Sekretarieti imebainisha kuwa hilo litapunguza mvutano majimboni kwakuwa tayari wameshachomoza makada wa kuwapokea vijiti walioaga. Sekretarieti inapendekeza watakaokosa ugombea wa Urais wasubiri nafasi za kuteuliwa endapo CCM itashinda uchaguzi ujao.
Wazo kama hili lilikuwepo 2005 na 2010 lakini wengi waliokosa kugombea Urais waligombea Ubunge majimboni mwao. Mwaka huu itawezekana. Tusubiri tuone. Watangaza nia wakae chonjo!

yah ni kweli. Ukipata tu majibu usinisahau namimi kuwa wa kwanza kufahamuHii siyo habari kwa sasa! Jambo pekee tunalotaka kujua ni: Is Lowassa IN or OUT ?????? Tunataka kujua kwamba, Chama Cha Mapinduzi, kinaweza kweli kumpitisha Mtoa Rushwa NA.1 na Fisadi papa Lowassa, kuwa mgombea Urais, ambaye pia ndiye atakayekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, ambacho kiapo chake cha nne katika viapo vyake vya wanachama, kinasema,"RUSHWA NI ADUI WA HAKI. SITAPOKEA WALA KUTOA RUSHWA", au atatupwa katika hatua za mwanzo za mchakato??????
Mzee wangu leo sijakusikia toka asubuhi mpaka nimemiss hoja zako...Sasa umeona ile Hotuba ya nduguyo Tundu wa Lissu?Naona kama ameweka mashimo mengi zaidi UPANDE ule wetu ukifikiria tena kuna MJUKUU wako huko Njombe kadunguliwa na ile mashine nzito wanayobeba wale watoto wa nani hii yule nani vile........Akapoteza maisha .Mjukuu huyu ana miaka 27 tu,sasa sijui mpaka ifike October 2015 wajukuu zako watakuwa wapo hai..........
Na huyu wa kike naye naona yuko busy anatangaza nia ya Ubunge na anatokea chama cha upinzani.........sijui itakuwaje hebu jaribu kumueleza Mwenyekiti kwa sasa TUNAOMBA KUWE NA HAKI SAWA kwa wote ili wajukuu zako waishi maisha marefu kama wenzao............Hilo tu Mzee wangu........
unajitahidi sana kuwa mbunifu na kutabiri nyotaMkutano wa Sekretarieti ya CCM ulioisha usiku wa manane wa kuamkia leo umeibuka na mpya ya 2015. Habari za kuaminika toka kikaoni zinadokeza kuwa Sekretarieti imeamua na kupendekeza kuwa makada wote waliotangaza kuwa hawatagombea Ubunge,wasipitishwe tena majimboni wakikosa Urais.
Sekretarieti imebainisha kuwa hilo litapunguza mvutano majimboni kwakuwa tayari wameshachomoza makada wa kuwapokea vijiti walioaga. Sekretarieti inapendekeza watakaokosa ugombea wa Urais wasubiri nafasi za kuteuliwa endapo CCM itashinda uchaguzi ujao.
Wazo kama hili lilikuwepo 2005 na 2010 lakini wengi waliokosa kugombea Urais waligombea Ubunge majimboni mwao. Mwaka huu itawezekana. Tusubiri tuone. Watangaza nia wakae chonjo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Binti yangu Tetty,nimeguswa na Hotuba ya Lissu na yanayojiri Njombe. Jua hivyo tu kwasasa. Rose Mayemba ni mwanamke imara. Naishia hapo
Mzee Tupatupa
Kwa hiyo EL atakuwa mbunge wa kuteuliwa siyo..