Sekretarieti ya Ajira

Sekretarieti ya Ajira

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,648
Reaction score
3,807
Wadau hivi hawa jamaa majibu ya kuitwa kwenye usahili wanatoleaga wapi, ni kwenye website tu ama kwenye magazeti? Maana unaweza kukuta mtu ume apply alafu majibu yanatoka kwenye gazeti na we sio msomaji.
 
hata mimi sifahamu ngoja tusikilizie wadau waliokuwa na ufahamu watatuambiaje!
 
Wadau hivi hawa jamaa majibu ya kuitwa kwenye usahili wanatoleaga wapi, ni kwenye website tu ama kwenye magazeti? Maana unaweza kukuta mtu ume apply alafu majibu yanatoka kwenye gazeti na we sio msomaji.
wanatoa kwenye website yao tu tena wakitoa reference ni tangazo la lini na kwa nafas gan
 
website tu km huna tabia ya kutembelea tovuti yao jifunze ,vinginevyo utapitwa na vitu vingi
 
pia apart from kutoa majib kwa web wanakutumia taarfa kwenye namba yako ya simu coz km mm kipind hiki wamenitumia na sms inasema hivi

Unajulishwa kuwa umechaguliwa kuhudhuria Usaili,
kwa taarifa zaidi tafadhali tembelea Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira
www.ajira.go.tz
 
Km wanafanya hivyo bac itakua imekaa poa sana hyo 😛oa:
 
mapiea na shigegele shukrani za dhati ziwafikie kwa kunipatia majibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom