habari zenu wana jf
naombeni mnifahamishe kuhusu hilo tangazo la usahili ni kwaajili ya wale walioomba kazi mwezi wa3 peke yao
au ndo majina pamoja na wale wa walioomba mwezi wa 6? nielewesheni tafadhali