Aliemaliza intermediate kiaina flani n mkali (Professional) kumshinda holder wa BAC, kwa sababu wa intermediate kabakisha level moja kuwa CPA T wakati huo Bachelor holder itabidi aipite intermediate level na final level kuwa CPA T. Kiprofessional zaidi. . [emoji848][emoji848] kwahiyo NBAA-wise aliyemaliza successfully intermediate level ni sawa tu na bachelor holder wa accountancy?
Watu wa BAF tayar washarekebishaa.....huwez ukawaacha BAF hata siku mojaaa...kwenye soko la Account,audit and Taxation......never ever....Aliemaliza intermediate kiaina flani n mkali (Professional) kumshinda holder wa BAC, kwa sababu wa intermediate kabakisha level moja kuwa CPA T wakati huo Bachelor holder itabidi aipite intermediate level na final level kuwa CPA T. Kiprofessional zaidi
Alishakwambia everything is ok...na hili tatizo linatokea kwa watu wengi..binafsi haijawahi kunikubali na qualification zangu zipo sawa kabisaaa kilingana na kazi ninazo omba..haijawahi..Angalia qualifications zako na mahitaji ya post unayo omba.... kuna uwezekano kazi unayo omba haiendani na sifa ulizonazo!
Hujaitwa kazi gani mkuu. Na 7bu ya KUTOKUITWA wamemention nnWengine inakubali ila kuitwa hatuitwi chaaa na kila kitu kiko sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajamention. Account officerHujaitwa kazi gani mkuu. Na 7bu ya KUTOKUITWA wamemention nn
Wao wakitaka kozi zipi... je Kuna wenzio wenye kozi kama yako wamechaguliwa..?
Ndio wapoWao wakitaka kozi zipi... je Kuna wenzio wenye kozi kama yako wamechaguliwa..?
Ilikubali nini Boss .?Me pia ilinitokea hio, ila ikabd nibadl qualification yangu hatimae ikakubali