Sekretariat ya ajira (PSRS)

Joined
Aug 29, 2013
Posts
54
Reaction score
37
Naomba msaada kwa wanaotumia huu mfumo wa kuomba ajira za serikarin. Mara kadhaa sasa Kila nikifanya application inafail nandikiwa.

"Sorry! You can not apply for the job post, kindly Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post""
Hii inatokea hata kwenye post ambazo nakuwa na qualifications nazo.

Naomba mnisaidie shida ni Nini hapo.

 
Nifate pm
 
Mkuu, unge bainisha qualifications zako na post husika iliyosumbua kupokea Application yako, nadhani ingekuwa rahisi zaidi kutambua hitilafu inajitokeza kutoka wapi. Mfano, kuna nafasi 37 za NAOT zimetangazwa hapa juzi, lakini maelezo yaliyopo ni kuwa na shahada au astashahada ya uhasibu, PAMOJA NA Tax Management. Nyingine za hii awamu ya 1904 kada mbalimbali, wametaka wenye at least intermediate level ya NBAA; so ukiwa tu na bachelor ya accountancy system inaku reject automatically. Maelezo yangu yamejikita katika case ya Uhasibu, pengine u mmoja wa walio experience hiyo hali.
 

Angalia qualifications zako na mahitaji ya post unayo omba.... kuna uwezekano kazi unayo omba haiendani na sifa ulizonazo!
 
Hakuna sehem mtu wa intermediate akakubaliwa halafu bachelor of accountancy ikamgomea, labda pale wanapotaka CPA T.
 
Hakuna sehem mtu wa intermediate akakubaliwa halafu bachelor of accountancy ikamgomea, labda pale wanapotaka CPA T.
. . 🤔🤔 kwahiyo NBAA-wise aliyemaliza successfully intermediate level ni sawa tu na bachelor holder wa accountancy?
 
Nimesoma bachelor of education in science, nafasi ninayoomba ni mwalimu daraja la IIIC. Hii imetangazwa na NAOT, Na nikiangalia qualifications wanazozitaka minazo
 
Hakuna sehem mtu wa intermediate akakubaliwa halafu bachelor of accountancy ikamgomea, labda pale wanapotaka CPA T.
Upo sawa maana intermediate level ndio equivalent ya degree kwenye fani ya uhasibu ingawa ukitaka kusoma CPA lazma uirudie
 
Mi nipeni muongozo wa kuunda email nifungue system ya ajira portor yaani usiku wa jana nilikesha ila sikufanikiwa kufungua.
 
Nasema system inamapangufu makubwa Sana haipo Sawa hata kidogo...Hili tatizo wanafanya makusudi kupunguza watu.... Sifa watu wanazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…